Tuesday, September 22, 2009

igb Stationery

igb Stationery ni biashara inayojishughulisha na uuzaji wa vifaa vya maofisini kama vile vitabu,madaftari,counterbooks na vifaa vyote vya stationery. Vilevile inajishughulisha na utengenezaji wa kadi za harusi, Send off, kitchen party, kipaimara, ubatizo, kuzaliwa na nyingine nyingi. Pia tunajishughulisha na kazi zote za computer yaani typing and printing, utengenezaji wa cv, kufanya laminations, Binding, photocopying. Baadaye mwaka huu tutakuwa tunategemea tutaanza kuuza vitabu vya maswali na majibu kwa wanafunzi wa kidato cha Kwanza hadi cha Sita. Biashara hii ipo jijini Dar-es-Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Maeneo ya Ubungo Kibangu karibu na Kanisa la KKKT Kibangu. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana nao kwa simu za mkononi +255713-447692, +255713-753462 au kwa email; ibgstationery@hotmail.com. 'igb Stationery for you.